Matendo 8:34 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 8:34 BHN (Biblia Habari Njema)
Huyo Mwethiopia akamwambia Filipo, “Niambie, huyu nabii anasema juu ya nini? Anasema mambo haya juu yake yeye mwenyewe au juu ya mtu mwingine?”
Matendo 8:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule towashi akamjibu Filipo, akasema, Nakuomba, nabii huyu; asema maneno haya kwa habari ya nani; ni habari zake mwenyewe au za mtu mwingine?
Matendo 8:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yule towashi akamjibu Filipo, akasema, Nakuomba, nabii huyu; asema maneno haya kwa habari ya nani; ni habari zake mwenyewe au za mtu mwingine?
Matendo 8:34 NEN (Neno)
Yule towashi akamuuliza Filipo, “Tafadhali niambie, nabii huyu anena habari zake mwenyewe au habari za mtu mwingine?”