Rukia hadi maudhui

Matendo 8:30 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 8:30 BHN (Biblia Habari Njema)

Filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo mtu akisoma katika kitabu cha nabii Isaya. Hapo Filipo akamwuliza, “Je, unaelewa hayo unayosoma?”

Matendo 8 BHN

Matendo 8:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?

Matendo 8 SUV

Matendo 8:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma kitabu cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?

Matendo 8 SRUV

Matendo 8:30 NEN (Neno)

Ndipo Filipo akakimbilia lile gari na kumsikia yule mtu anasoma kitabu cha nabii Isaya. Filipo akamuuliza, “Je, unaelewa hayo unayoyasoma?”

Matendo 8 NEN