Rukia hadi maudhui

Matendo 8:29 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 8:29 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Roho Mtakatifu akamwambia Filipo, “Nenda karibu na gari hilo ukafuatane nalo.”

Matendo 8 BHN

Matendo 8:29 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukashikamane nalo.

Matendo 8 SUV

Matendo 8:29 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukaribiane nalo.

Matendo 8 SRUV

Matendo 8:29 NEN (Neno)

Roho Mtakatifu akamwambia Filipo, “Nenda kwenye lile gari ukae karibu nalo.”

Matendo 8 NEN