Matendo 8:20 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 8:20 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini Petro akamjibu, “Potelea mbali na fedha zako kwa vile unafikiri kwamba unaweza kununua karama ya Mungu kwa fedha!
Matendo 8:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Petro akamwambia, Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhania ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali.
Matendo 8:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini Petro akamwambia, Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhania ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali.
Matendo 8:20 NEN (Neno)
Petro akamjibu, “Fedha yako na iangamie pamoja nawe, kwa sababu ulidhani unaweza kununua karama ya Mungu kwa fedha!