Matendo 7:57 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:57 BHN (Biblia Habari Njema)
Hapo, watu wote katika kile kikao cha Baraza, wakapiga kelele na kuziba masikio yao kwa mikono yao. Kisha wakamrukia wote kwa pamoja
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:57 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:57 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:57 NEN (Neno)
Lakini wao wakapiga kelele kwa sauti kubwa, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja.
Shirikisha
Matendo 7 NEN