Matendo 7:56 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:56 BHN (Biblia Habari Njema)
Akasema, “Tazameni! Ninaona mbingu zimefunuliwa na Mwana wa Mtu amesimama upande wa kulia wa Mungu.”
Matendo 7:56 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Tazama! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7:56 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Tazama! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kulia wa Mungu.
Matendo 7:56 NEN (Neno)
Akasema, “Tazameni! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama upande wa kuume wa Mungu.”