Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 7:52 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 7:52 BHN (Biblia Habari Njema)

Je, yuko nabii yeyote ambaye babu zenu hawakumtesa? Waliwaua hao Mungu aliowatuma watangaze kuja kwake yule Mwenye Haki. Na sasa, nyinyi mmemsaliti, mkamuua.

Shirikisha
Matendo 7 BHN

Matendo 7:52 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ni yupi katika manabii ambaye baba zenu hawakumwudhi? Nao waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki; ambaye ninyi sasa mmekuwa wasaliti wake, mkamwua

Shirikisha
Matendo 7 SUV

Matendo 7:52 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ni yupi katika manabii ambaye baba zenu hawakumwudhi? Nao waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki; ambaye ninyi sasa mmekuwa wasaliti wake, mkamwua

Shirikisha
Matendo 7 SRUV

Matendo 7:52 NEN (Neno)

Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji.

Shirikisha
Matendo 7 NEN