Matendo 7:48 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:48 BHN (Biblia Habari Njema)
“Hata hivyo, Mungu Mkuu haishi katika nyumba zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo
Matendo 7:48 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila Yeye aliye juu hakai katika nyumba zilizofanywa kwa mikono, kama vile asemavyo nabii
Matendo 7:48 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ila Yeye aliye juu hakai katika nyumba zilizojengwa kwa mikono, kama vile asemavyo nabii
Matendo 7:48 NEN (Neno)
“Hata hivyo, Yeye Aliye Juu Sana hakai kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono ya wanadamu. Kama nabii alivyosema