Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 7:44 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 7:44 BHN (Biblia Habari Njema)

Kule jangwani babu zetu walikuwa na lile hema la maamuzi. Lilitengenezwa kama Mungu alivyomwambia Mose alifanye; nakala kamili ya kile alichooneshwa.

Shirikisha
Matendo 7 BHN

Matendo 7:44 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ile hema ya ushahidi ilikuwa pamoja na baba zetu jangwani, kama alivyoagiza yeye aliyesema na Musa, ya kwamba aifanye sawasawa na mfano ule aliouona

Shirikisha
Matendo 7 SUV

Matendo 7:44 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ile hema ya ushahidi ilikuwa pamoja na baba zetu jangwani, kama alivyoagiza yeye aliyesema na Musa, ya kwamba aifanye kulingana na mfano ule aliouona

Shirikisha
Matendo 7 SRUV

Matendo 7:44 NEN (Neno)

“Baba zetu walikuwa na lile Hema la Ushuhuda huko jangwani, ambalo lilitengenezwa kama Mungu alivyomwelekeza Musa, kulingana na kielelezo alichokiona.

Shirikisha
Matendo 7 NEN