Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 7:40 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 7:40 BHN (Biblia Habari Njema)

Walimwambia Aroni: ‘Tutengenezee miungu itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata huyo Mose aliyetuongoza kutoka Misri!’

Shirikisha
Matendo 7 BHN

Matendo 7:40 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

wakamwambia Haruni, Tufanyie miungu, watakaotutangulia; maana huyo Musa, aliyetutoa katika nchi ya Misri, hatujui lililompata.

Shirikisha
Matendo 7 SUV

Matendo 7:40 SRUV (Swahili Revised Union Version)

wakamwambia Haruni, Tutengenezee miungu, watakaotutangulia; maana huyo Musa, aliyetutoa katika nchi ya Misri, hatujui lililompata.

Shirikisha
Matendo 7 SRUV

Matendo 7:40 NEN (Neno)

Wakamwambia Haruni, ‘Tufanyie miungu itakayotuongoza, kwa maana mtu huyu Musa aliyetutoa nchi ya Misri, hatujui yaliyompata.’

Shirikisha
Matendo 7 NEN