Matendo 7:4 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa hivyo, Abrahamu alihama nchi ya Kaldayo, akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu alimtoa tena Harani akaja kukaa katika nchi hii mnayokaa sasa.
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo alipotoka katika nchi ya Wakaldayo, akakaa Harani, akatoka huko baada ya kufa babaye, Mungu akamhamisha mpaka nchi hii mnayokaa ninyi sasa.
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ndipo alipotoka katika nchi ya Wakaldayo, akakaa Harani, akatoka huko baada ya kufa babaye, Mungu akamhamisha mpaka nchi hii mnayokaa ninyi sasa.
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:4 NEN (Neno)
“Hivyo aliondoka katika nchi ya Wakaldayo akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu akamtoa huko akamleta katika nchi hii ambayo mnaishi sasa.
Shirikisha
Matendo 7 NEN