Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 7:39 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 7:39 BHN (Biblia Habari Njema)

“Lakini yeye ndiye babu zetu waliyekataa kumsikiliza; walimsukuma kando, wakatamani kurudi Misri.

Shirikisha
Matendo 7 BHN

Matendo 7:39 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mtu huyo baba zetu hawakutaka kumtii, bali wakamsukumia mbali, na kwa mioyo yao wakarejea Misri

Shirikisha
Matendo 7 SUV

Matendo 7:39 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mtu huyo baba zetu hawakutaka kumtii, bali wakamsukumia mbali, na kwa mioyo yao wakarejea Misri

Shirikisha
Matendo 7 SRUV

Matendo 7:39 NEN (Neno)

“Lakini baba zetu walikataa kumtii Musa, badala yake wakamkataa na kuielekeza mioyo yao Misri tena.

Shirikisha
Matendo 7 NEN