Matendo 7:37 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:37 BHN (Biblia Habari Njema)
Mose ndiye aliyewaambia watu wa Israeli: ‘Mungu atawateulieni nabii kama mimi miongoni mwa ndugu zenu nyinyi wenyewe.’
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa huyo ndiye aliyewaambia Waisraeli, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii, katika ndugu zenu, kama mimi; msikieni yeye.
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Musa huyo ndiye aliyewaambia Waisraeli, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii, katika ndugu zenu, kama mimi; msikieni yeye.
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:37 NEN (Neno)
“Huyu ndiye yule Musa aliyewaambia Waisraeli, ‘Mungu atawainulia nabii kama mimi kutoka miongoni mwa ndugu zenu wenyewe.’
Shirikisha
Matendo 7 NEN