Matendo 7:30 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:30 BHN (Biblia Habari Njema)
“Miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana alimtokea Mose katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima Sinai.
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata miaka arobaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima wa Sinai katika mwali wa moto, kijitini.
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima wa Sinai katika muali wa moto, kichakani.
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:30 NEN (Neno)
“Baada ya miaka arobaini kupita, malaika wa Mungu akamtokea Musa jangwani karibu na Mlima Sinai katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto.
Shirikisha
Matendo 7 NEN