Rukia hadi maudhui

Matendo 7:29 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 7:29 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya kusikia hayo, Mose alikimbia, akaenda kukaa katika nchi ya Midiani na huko akapata watoto wawili.

Matendo 7 BHN

Matendo 7:29 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Musa akakimbia kwa neno hilo, akakaa hali ya ugeni katika nchi ya Midiani, akazaa wana wawili huko.

Matendo 7 SUV

Matendo 7:29 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Musa akakimbia kwa neno hilo, akakaa kama mgeni katika nchi ya Midiani, akazaa wana wawili huko.

Matendo 7 SRUV

Matendo 7:29 NEN (Neno)

Musa aliposikia maneno haya, alikimbilia huko Midiani alikokaa kama mgeni, naye akapata watoto wawili wa kiume.

Matendo 7 NEN