Matendo 7:27 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:27 BHN (Biblia Habari Njema)
Yule aliyekuwa anampiga mwenzake alimsukuma Mose kando akisema: ‘Ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wetu?
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yeye aliyemdhulumu mwenziwe akamsukumia mbali, akisema, Ni nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu na mwamuzi juu yetu?
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini yeye aliyemdhulumu mwenziwe akamsukumia mbali, akisema, Ni nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu na mwamuzi juu yetu?
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:27 NEN (Neno)
“Lakini yule mtu aliyekuwa akimdhulumu mwenzake akamsukuma Musa kando, akamuuliza, ‘Ni nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi juu yetu?
Shirikisha
Matendo 7 NEN