Matendo 7:22 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo.
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo.
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:22 NEN (Neno)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.
Shirikisha
Matendo 7 NEN