Rukia hadi maudhui

Matendo 7:20 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 7:20 BHN (Biblia Habari Njema)

Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu

Matendo 7 BHN

Matendo 7:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati huo akazaliwa Musa, naye alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya babaye.

Matendo 7 SUV

Matendo 7:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati huo akazaliwa Musa, naye alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya babaye.

Matendo 7 SRUV

Matendo 7:20 NEN (Neno)

“Wakati huo Musa alizaliwa, naye hakuwa mtoto wa kawaida. Akalelewa nyumbani mwa baba yake kwa muda wa miezi mitatu.

Matendo 7 NEN