Matendo 7:17 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:17 BHN (Biblia Habari Njema)
“Wakati ulipotimia Mungu aitimize ahadi aliyompa Abrahamu, idadi ya wale watu kule Misri ilikwisha ongezeka na kuwa kubwa zaidi.
Matendo 7:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakati wa ile ahadi ambayo Mungu alimpa Ibrahimu ulipokuwa unakaribia, wale watu wakazidi na kuongezeka sana huko Misri
Matendo 7:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi wakati wa ile ahadi ambayo Mungu alimpa Abrahamu ulipokuwa unakaribia, wale watu wakazidi na kuongezeka sana huko Misri
Matendo 7:17 NEN (Neno)
“Lakini wakati ulipokuwa unakaribia wa kutimizwa kwa ile ahadi ambayo Mungu alikuwa amempa Abrahamu, watu wetu walizidi kuongezeka sana huko Misri.