Matendo 7:16 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 7:16 BHN (Biblia Habari Njema)
Miili yao ililetwa mpaka Shekemu, ikazikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alikuwa amenunua kutoka kwa kabila la Hamori kwa kiasi fulani cha fedha.
Shirikisha
Matendo 7 BHNMatendo 7:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakachukuliwa mpaka Shekemu wakazikwa katika kaburi lile, ambalo Ibrahimu alilinunua kwa kima cha fedha kwa wana wa Hamori, huko Shekemu.
Shirikisha
Matendo 7 SUVMatendo 7:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)
wakachukuliwa mpaka Shekemu wakazikwa katika kaburi lile, ambalo Abrahamu alilinunua kwa kima fulani cha fedha kutoka kwa wana wa Hamori, huko Shekemu.
Shirikisha
Matendo 7 SRUVMatendo 7:16 NEN (Neno)
Miili yao ilirudishwa Shekemu na kuzikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alinunua kutoka kwa wana wa Hamori kwa kiasi fulani cha fedha.
Shirikisha
Matendo 7 NEN