Matendo 6:6 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 6:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Wakawaweka mbele ya mitume, nao wakawaombea na kuwawekea mikono.
Matendo 6:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambao wakawaweka mbele ya mitume, na walipokwisha kuomba wakaweka mikono yao juu yao.
Matendo 6:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
ambao wakawaweka mbele ya mitume, na walipokwisha kuomba wakaweka mikono yao juu yao.
Matendo 6:6 NEN (Neno)
Wakawaleta watu hawa mbele ya mitume, nao wakawaombea na kuwawekea mikono.