Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 6:5 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 6:5 BHN (Biblia Habari Njema)

Jambo hilo likaipendeza jumuiya yote ya waumini. Wakawachagua Stefano, mtu mwenye imani kubwa na mwenye kujaa Roho Mtakatifu, Filipo, Prokoro, Nikanori, Timona, Parmena na Nikolao wa Antiokia ambaye wakati mmoja alikuwa ameongokea dini ya Kiyahudi.

Shirikisha
Matendo 6 BHN

Matendo 6:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia

Shirikisha
Matendo 6 SUV

Matendo 6:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia

Shirikisha
Matendo 6 SRUV

Matendo 6:5 NEN (Neno)

Yale waliyosema yakawapendeza watu wote, nao wakamchagua Stefano (mtu aliyejawa na imani na Roho Mtakatifu) pamoja na Filipo, Prokoro, Nikanori, Timoni, Parmena na Nikolao kutoka Antiokia, mtu wa Mataifa aliyeongokea dini ya Kiyahudi.

Shirikisha
Matendo 6 NEN