Rukia hadi maudhui

Matendo 6:13 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 6:13 BHN (Biblia Habari Njema)

Walileta Barazani mashahidi wa uongo ambao walisema, “Mtu huyu haachi kamwe kusema maneno ya kupakashifu mahali hapa patakatifu na sheria ya Mose.

Matendo 6 BHN

Matendo 6:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakasimamisha mashahidi wa uongo waliosema, Mtu huyu haachi kusema maneno ya kufuru juu ya mahali hapa patakatifu na juu ya torati

Matendo 6 SUV

Matendo 6:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakasimamisha mashahidi wa uongo waliosema, Mtu huyu haachi kusema maneno ya kufuru juu ya mahali hapa patakatifu na juu ya torati

Matendo 6 SRUV

Matendo 6:13 NEN (Neno)

Wakawaleta mashahidi wa uongo ambao walishuhudia, wakasema, “Mtu huyu kamwe haachi kusema dhidi ya mahali hapa patakatifu na dhidi ya Sheria.

Matendo 6 NEN