Matendo 6:11 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 6:11 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa hiyo waliwahonga watu kadhaa waseme: “Tumemsikia Stefano akisema maneno ya kumkashifu Mose na kumkashifu Mungu.”
Matendo 6:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata wakashawishi watu waliosema, Tumemsikia mtu huyu akinena maneno ya kumtukana Musa na Mungu.
Matendo 6:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata wakashawishi watu waliosema, Tumemsikia mtu huyu akinena maneno ya kumtukana Musa na Mungu.
Matendo 6:11 NEN (Neno)
Ndipo kwa siri wakawashawishi watu fulani waseme, “Tumemsikia Stefano akisema maneno ya kufuru dhidi ya Musa na dhidi ya Mungu.”