Rukia hadi maudhui

Matendo 6:10 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 6:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule Roho aliyemwongoza wakati aliposema.

Matendo 6 BHN

Matendo 6:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

lakini hawakuweza kushindana na hiyo hekima na huyo Roho aliyesema naye.

Matendo 6 SUV

Matendo 6:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

lakini hawakuweza kushindana na hiyo hekima na huyo Roho aliyesema naye.

Matendo 6 SRUV

Matendo 6:10 NEN (Neno)

Lakini hawakuweza kushindana na ile hekima aliyopewa na Roho alipokuwa akisema.

Matendo 6 NEN