Rukia hadi maudhui

Matendo 5:37 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 5:37 BHN (Biblia Habari Njema)

Tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. Huyu naye aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.

Matendo 5 BHN

Matendo 5:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Baada ya mtu huyo aliondoka Yuda Mgalilaya, siku zile za kuandikiwa orodha, akawavuta watu kadha wa kadha nyuma yake, naye pia akapotea na wote waliomsadiki wakatawanyika.

Matendo 5 SUV

Matendo 5:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Baada ya mtu huyo aliondoka Yuda Mgalilaya, siku zile za kuandikiwa orodha, akawavuta watu kadhaa nyuma yake, naye pia akapotea na wote waliomsadiki wakatawanyika.

Matendo 5 SRUV

Matendo 5:37 NEN (Neno)

Baada yake, alitokea Yuda Mgalilaya wakati wa kuorodhesha watu, naye akaongoza kundi la watu kuasi. Yeye pia aliuawa, nao wafuasi wake wakatawanyika.

Matendo 5 NEN