Matendo 5:1 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 5:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.
Matendo 5:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali
Matendo 5:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali
Matendo 5:1 NEN (Neno)
Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja.