Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 4:8 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 4:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Hapo, Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akawaambia, “Viongozi na wazee wa watu!

Shirikisha
Matendo 4 BHN

Matendo 4:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli

Shirikisha
Matendo 4 SUV

Matendo 4:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli

Shirikisha
Matendo 4 SRUV

Matendo 4:8 NEN (Neno)

Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu

Shirikisha
Matendo 4 NEN