Matendo 4:5 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 4:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na waalimu wa sheria walikusanyika pamoja huko Yerusalemu.
Shirikisha
Matendo 4 BHNMatendo 4:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asubuhi wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu
Shirikisha
Matendo 4 SUVMatendo 4:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kesho yake, wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu
Shirikisha
Matendo 4 SRUVMatendo 4:5 NEN (Neno)
Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa sheria walikusanyika Yerusalemu.
Shirikisha
Matendo 4 NEN