Matendo 4:37 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 4:37 BHN (Biblia Habari Njema)
Yeye pia alikuwa na shamba lake, akaliuza; akazichukua zile fedha, akawakabidhi mitume.
Shirikisha
Matendo 4 BHNMatendo 4:37 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume.
Shirikisha
Matendo 4 SUVMatendo 4:37 SRUV (Swahili Revised Union Version)
alikuwa na shamba akaliuza, akaileta fedha, akaiweka miguuni pa mitume.
Shirikisha
Matendo 4 SRUVMatendo 4:37 NEN (Neno)
aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume.
Shirikisha
Matendo 4 NEN