Skip to content

Matendo 4:34 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 4:34 BHN (Biblia Habari Njema)

Hakuna mtu yeyote aliyetindikiwa kitu, maana waliokuwa na mashamba au nyumba walikuwa wanaviuza

Matendo 4 BHN

Matendo 4:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wala hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na viwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa

Matendo 4 SUV

Matendo 4:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wala hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na viwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa

Matendo 4 SRUV

Matendo 4:34 NEN (Neno)

Wala hapakuwa mtu yeyote miongoni mwao aliyekuwa mhitaji, kwa sababu mara kwa mara wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliviuza, wakaleta thamani ya vitu vilivyouzwa

Matendo 4 NEN