Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 4:33 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 4:33 BHN (Biblia Habari Njema)

Mitume walishuhudia kwa nguvu nyingi kufufuka kwa Bwana Yesu, naye Mungu akawapa baraka nyingi.

Shirikisha
Matendo 4 BHN

Matendo 4:33 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema nyingi ikawa juu yao wote.

Shirikisha
Matendo 4 SUV

Matendo 4:33 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema nyingi ikawa juu yao wote.

Shirikisha
Matendo 4 SRUV

Matendo 4:33 NEN (Neno)

Mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwa Bwana Yesu kwa nguvu nyingi na neema ya Mungu ilikuwa juu yao wote.

Shirikisha
Matendo 4 NEN