Rukia hadi maudhui

Matendo 4:23 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 4:23 BHN (Biblia Habari Njema)

Mara tu walipoachwa huru, Petro na Yohane walirudi kwa wenzao, wakawaeleza yale waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.

Matendo 4 BHN

Matendo 4:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata walipofunguliwa, wakaenda kwa watu wao, wakawapasha habari ya mambo yote waliyoambiwa na wakuu wa makuhani na wazee.

Matendo 4 SUV

Matendo 4:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hata walipofunguliwa, wakaenda kwa watu wao, wakawapasha habari ya mambo yote waliyoambiwa na wakuu wa makuhani na wazee.

Matendo 4 SRUV

Matendo 4:23 NEN (Neno)

Punde Petro na Yohana walipoachiliwa, walirudi kwa waumini wenzao wakawaeleza waliyoambiwa na viongozi wa makuhani na wazee.

Matendo 4 NEN