Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 3:7 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 3:7 BHN (Biblia Habari Njema)

Halafu, akamshika mkono wa kulia, akamwinua. Papo hapo miguu na magoti yake yakapata nguvu.

Shirikisha
Matendo 3 BHN

Matendo 3:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.

Shirikisha
Matendo 3 SUV

Matendo 3:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akamshika mkono wa kulia, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu.

Shirikisha
Matendo 3 SRUV

Matendo 3:7 NEN (Neno)

Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa kuume akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu.

Shirikisha
Matendo 3 NEN