Matendo 3:26 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 3:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Mungu alimfufua mtumishi wake kwa faida yenu kwanza, akamtuma awaleteeni baraka kwa kumfanya kila mmoja wenu aachane kabisa na maovu yake.”
Shirikisha
Matendo 3 BHNMatendo 3:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, akiisha kumfufua mtumishi wake Yesu, alimtuma kwenu ninyi kwanza, ili kuwabarikia kwa kumwepusha kila mmoja wenu na maovu yake.
Shirikisha
Matendo 3 SUVMatendo 3:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mungu, akiisha kumfufua mtumishi wake Yesu, alimtuma kwenu ninyi kwanza, ili kuwabariki kwa kumwepusha kila mmoja wenu na maovu yake.
Shirikisha
Matendo 3 SRUVMatendo 3:26 NEN (Neno)
Mungu alipomfufua Yesu Mwanawe, alimtuma kwenu kwanza, ili awabariki kwa kumgeuza kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya.”
Shirikisha
Matendo 3 NEN