Rukia hadi maudhui

Matendo 3:21 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 3:21 BHN (Biblia Habari Njema)

Ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani.

Matendo 3 BHN

Matendo 3:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu.

Matendo 3 SUV

Matendo 3:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)

ambaye ilimpasa kupokewa mbinguni hata zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa kinywa cha manabii wake watakatifu tokea mwanzo wa ulimwengu.

Matendo 3 SRUV

Matendo 3:21 NEN (Neno)

Ilimpasa mbingu zimpokee hadi wakati wa kufanywa upya kila kitu, kama Mungu alivyoahidi zamani kupitia kwa manabii wake watakatifu.

Matendo 3 NEN