Matendo 3:11 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 3:11 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu wote, wakiwa na mshangao mkubwa, wakaanza kukimbilia mahali palipoitwa “Ukumbi wa Solomoni,” ambapo yule mtu alikuwa bado anaandamana na Petro na Yohane.
Shirikisha
Matendo 3 BHNMatendo 3:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililoitwa tao la Sulemani, wakishangaa sana.
Shirikisha
Matendo 3 SUVMatendo 3:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi alipokuwa akiwashika Petro na Yohana, watu wote wakawakusanyikia mbio katika tao lile lililoitwa tao la Sulemani, wakishangaa sana.
Shirikisha
Matendo 3 SRUVMatendo 3:11 NEN (Neno)
Aliyeponywa alipokuwa akiambatana na Petro na Yohana, watu wote walishangaa mno, wakaja wakiwakimbilia pale Ukumbi wa Sulemani.
Shirikisha
Matendo 3 NEN