Matendo 28:30 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 28:30 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.
Matendo 28:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakaa muda wa miaka miwili mizima katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea
Matendo 28:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akakaa muda wa miaka miwili kamili katika nyumba yake aliyokuwa ameipanga, akawakaribisha watu wote waliokuwa wakimwendea
Matendo 28:30 NEN (Neno)
Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwa nyumba aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote walioenda kumwona.