Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Matendo 26:9 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 26:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa kweli mimi mwenyewe niliamini kwamba ni wajibu wangu kufanya mambo mengi kulipinga jina la Yesu wa Nazareti.

Shirikisha
Matendo 26 BHN

Matendo 26:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti

Shirikisha
Matendo 26 SUV

Matendo 26:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kweli, mimi mwenyewe niliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingana na jina lake Yesu Mnazareti

Shirikisha
Matendo 26 SRUV

Matendo 26:9 NEN (Neno)

“Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti.

Shirikisha
Matendo 26 NEN