Matendo 26:5 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 26:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Wananifahamu kwa muda mrefu, na wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye siasa kali kabisa katika dini yetu, yaani kikundi cha Mafarisayo.
Shirikisha
Matendo 26 BHNMatendo 26:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakinijua sana tangu mwanzo, kama wakipenda kushuhudia, ya kwamba nalikuwa Farisayo kwa kuifuata madhehebu ya dini yetu iliyo sahihi kabisa.
Shirikisha
Matendo 26 SUVMatendo 26:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
wakinijua sana tangu mwanzo, kama wakipenda kushuhudia, ya kwamba nilikuwa Farisayo kwa kuifuata madhehebu ya dini yetu iliyo sahihi kabisa.
Shirikisha
Matendo 26 SRUVMatendo 26:5 NEN (Neno)
Wao wamenifahamu kwa muda mrefu, na wanaweza kushuhudia wakipenda kushuhudia, kwamba kutokana na misimamo mikali sana ya dhehebu letu kwenye dini yetu, niliishi nikiwa Farisayo.
Shirikisha
Matendo 26 NEN