Matendo 26:4 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 26:4 BHN (Biblia Habari Njema)
“Wayahudi wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo kati ya taifa langu huko Yerusalemu.
Shirikisha
Matendo 26 BHNMatendo 26:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Wayahudi wote wanajua maisha yangu tangu ujana, yaliyokuwa tangu mwanzo katika taifa langu huko Yerusalemu
Shirikisha
Matendo 26 SUVMatendo 26:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Wayahudi wote wanajua maisha yangu tangu ujana, yalivyokuwa tangu mwanzo katika taifa langu huko Yerusalemu
Shirikisha
Matendo 26 SRUVMatendo 26:4 NEN (Neno)
“Wayahudi wote wanajua jinsi nilivyoishi tangu nilipokuwa mtoto, kuanzia mwanzo wa maisha yangu katika nchi yangu na pia huko Yerusalemu.
Shirikisha
Matendo 26 NEN