Matendo 26:30 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 26:30 BHN (Biblia Habari Njema)
Hapo mfalme Agripa, mkuu wa mkoa, Bernike na wale wote waliokuwa pamoja nao, walisimama.
Shirikisha
Matendo 26 BHNMatendo 26:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme na liwali na Bernike na wale walioketi pamoja nao wakasimama
Shirikisha
Matendo 26 SUVMatendo 26:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mfalme na mtawala na Bernike na wale walioketi pamoja nao wakasimama
Shirikisha
Matendo 26 SRUVMatendo 26:30 NEN (Neno)
Baada ya kusema hayo, mfalme akainuka pamoja na mtawala na Bernike na wale waliokuwa wameketi pamoja nao.
Shirikisha
Matendo 26 NEN