Matendo 26:13 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 26:13 BHN (Biblia Habari Njema)
Mheshimiwa, wakati nilipokuwa njiani, saa sita mchana, niliona mwanga mkubwa kuliko wa jua ukiangaza kutoka mbinguni, ukanizunguka mimi na wale wasafiri wenzangu.
Shirikisha
Matendo 26 BHNMatendo 26:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote.
Shirikisha
Matendo 26 SUVMatendo 26:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani niliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote.
Shirikisha
Matendo 26 SRUVMatendo 26:13 NEN (Neno)
Ilikuwa yapata adhuhuri, ee mfalme, nilipokuwa njiani, niliona nuru kutoka mbinguni iliyongʼaa kuliko jua, ikatuangaza pande zote, mimi na wale niliokuwa pamoja nao.
Shirikisha
Matendo 26 NEN