Matendo 26:12 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 26:12 BHN (Biblia Habari Njema)
“Kwa mujibu huohuo, nilikwenda Damasko wakati mmoja, nikiwa na mamlaka na maagizo kutoka kwa makuhani wakuu.
Shirikisha
Matendo 26 BHNMatendo 26:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani
Shirikisha
Matendo 26 SUVMatendo 26:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani
Shirikisha
Matendo 26 SRUVMatendo 26:12 NEN (Neno)
“Siku moja nilipokuwa katika mojawapo ya safari hizi nikiwa ninaenda Dameski, nilikuwa na mamlaka na agizo kutoka kwa kiongozi wa makuhani.
Shirikisha
Matendo 26 NEN