Matendo 26:1 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 26:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Agripa akamwambia Paulo, “Unaruhusiwa kujitetea.” Hapo Paulo alinyosha mkono wake akajitetea hivi
Matendo 26:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Agripa akamwambia Paulo, Una ruhusa kusema maneno yako. Ndipo Paulo akanyosha mkono wake, akajitetea
Matendo 26:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Agripa akamwambia Paulo, Una ruhusa kusema maneno yako. Ndipo Paulo akanyosha mkono wake, akajitetea
Matendo 26:1 NEN (Neno)
Ndipo Agripa akamwambia Paulo, “Una ruhusa kujitetea.” Hivyo Paulo akawaashiria kwa mkono wake, akaanza kujitetea, akasema