Matendo 25:4 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 25:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini Festo alijibu, “Paulo atabaki kizuizini kule Kaisarea na mimi nitakwenda huko karibuni.
Shirikisha
Matendo 25 BHNMatendo 25:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Festo akajibu ya kwamba Paulo analindwa Kaisaria; naye mwenyewe yu tayari kwenda huko karibu.
Shirikisha
Matendo 25 SUVMatendo 25:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini Festo akajibu ya kwamba Paulo analindwa Kaisaria; naye mwenyewe yuko tayari kwenda huko karibuni.
Shirikisha
Matendo 25 SRUVMatendo 25:4 NEN (Neno)
Festo akawajibu, “Paulo amezuiliwa huko Kaisaria, nami mwenyewe ninaenda huko hivi karibuni.
Shirikisha
Matendo 25 NEN