Rukia hadi maudhui

Matendo 25:23 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 25:23 BHN (Biblia Habari Njema)

Hivyo, kesho yake, Agripa na Bernike walifika kwa shangwe katika ukumbi wa mkutano wakiwa wameandamana na wakuu wa majeshi na viongozi wa mji. Festo aliamuru Paulo aletwe ndani

Matendo 25 BHN

Matendo 25:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata asubuhi Agripa akaja pamoja na Bernike kwa fahari nyingi, wakaingia mahali pa kusikia maneno, pamoja na maakida wakuu na watu wakuu wa mji; Festo akatoa amri, Paulo akaletwa.

Matendo 25 SUV

Matendo 25:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kesho yake asubuhi Agripa akaja pamoja na Bernike kwa fahari nyingi, wakaingia mahali pa kusikia maneno, pamoja na maofisa wakuu na watu wakuu wa mji; Festo akatoa amri, Paulo akaletwa.

Matendo 25 SRUV

Matendo 25:23 NEN (Neno)

Siku iliyofuata Agripa na Bernike walifika kwa fahari kubwa wakaingia katika ukumbi wa mahakama, pamoja na majemadari wa jeshi na watu mashuhuri wa mji. Ndipo Paulo akaletwa ndani kwa amri ya Festo.

Matendo 25 NEN