Rukia hadi maudhui

Matendo 25:13 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 25:13 BHN (Biblia Habari Njema)

Siku chache baadaye, mfalme Agripa na Bernike walifika Kaisarea ili kutoa heshima zao kwa Festo.

Matendo 25 BHN

Matendo 25:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Siku kadha wa kadha zilipokwisha kupita, Agripa mfalme na Bernike wakafika Kaisaria, wakimwamkia Festo.

Matendo 25 SUV

Matendo 25:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Siku kadhaa zilipokwisha kupita, Agripa mfalme na Bernike wakafika Kaisaria, wakimwamkia Festo.

Matendo 25 SRUV

Matendo 25:13 NEN (Neno)

Baada ya siku kadhaa Mfalme Agripa na Bernike wakapanda kuja Kaisaria kumsalimu Festo.

Matendo 25 NEN