Rukia hadi maudhui

Matendo 25:1 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 25:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Siku tatu baada ya kufika mkoani, Festo alitoka Kaisarea, akaenda Yerusalemu.

Matendo 25 BHN

Matendo 25:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata Festo alipokwisha kuingia katika uliwali, baada ya siku tatu akapanda kwenda Yerusalemu kutoka Kaisaria.

Matendo 25 SUV

Matendo 25:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Festo alipokwisha kuingia katika mkoa, baada ya siku tatu akapanda kwenda Yerusalemu kutoka Kaisaria.

Matendo 25 SRUV

Matendo 25:1 NEN (Neno)

Siku tatu baada ya Festo kuwasili Kaisaria kuchukua wajibu wake mpya, alipanda kwenda Yerusalemu

Matendo 25 NEN