Matendo 23:24 - Linganisha Matoleo Yote
Matendo 23:24 BHN (Biblia Habari Njema)
Wekeni farasi kadhaa kwa ajili ya Paulo; mfikisheni salama kwa Felisi, mkuu wa mkoa.”
Matendo 23:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia kuweka wanyama tayari wampandishe Paulo, na kumchukua salama kwa Feliki liwali.
Matendo 23:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia kuweka wanyama tayari wampandishe Paulo, na kumchukua salama kwa Feliki mtawala.
Matendo 23:24 NEN (Neno)
Pia tayarisheni na farasi watakaotumiwa na Paulo, mkampeleke salama kwa mtawala Feliksi.”